PreGE2025 Tafiti zangu wabunge rahisi kurudi/ ngumu kurudi bungeni 2025-2030

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Ambakucha

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2019
Posts
435
Reaction score
733
Wadau mambo? Naomba twendeni kwenye mada. Shughuli zangu zinanipa fursa kufika mikoa na wilaya mbalimbali za nchi yetu ya Tanzania.

Na katika kufika huko niliamua kufanya UTAFITI WA KAWAIDA kuhusu wabunge wa majimbo ambao ni ngumu kurudi bungeni 2025-2030 na wale ambao kurudi ni mteremko, sababu zikiwa ni; WALICHOFANYA MAJIMBONI KWA MIAKA MITANO ILIYOPITA (2020-2025).

Utafiti wangu huu niliegemea/ nitaegemea (kwa sababu bado nasafiri) kwenye mazungumzo yangu na baadhi ya wananchi wanaoishi katika majimbo husika.

Naamini wahusika/viongozi wa JF hawatanichukulia kuwa ni mvurugaji wa mikakati ya watu kwa sababu nimesema Utafiti wa Kawaida. Na nitakuwa nikiutoa kila Jumapili na Jumatano ya kila wiki.

Katika majimbo ambayo sikubahatika kufika au sikubahatika kuongea na wananchi (hata kama nilifika) nitaandika, mfano; (Kigamboni- sina taarifa).

Aidha, nitatoa asilimia ya mbunge husika kurudi na asilimia kutorudi kwa mujibu wa mazungumzo ya wananchi. mfano; (Kigamboni mbunge kurudi-68%). Maana yake 32% ni ya kutokurudi.

ANGALIZO: Sijazingatia wale ambao wajumbe wamewapitisha, kamati za juu zinawakata na kupitisha 'jina lao'. Bali nimezingatia maneno ya wananchi kwa mtazamo wao.

Naanza...

MKOA WA DAR ES SALAAM:

1. Jimbo la Kawe- Mh. Mch. Josephat Mathias Gwajima. Akipata mpinzani strong (mwenye nguvu) ndani ya CCM kurudi 50%. Akipata mpinzani strong nje ya CCM kurudi 34%.

2. Jimbo la Ilala- Mh. Musa Hassan Zungu. Akipata mpinzani strong ndani ya CCM kurudi 70%. Akipata mpinzani strong nje ya CCM kurudi 50%.

3. Jimbo la Segerea- Mh. Bonnah Ladislaus Kamoli (zamani Bonnah Moses Kaluwa). Akipata mpinzani strong ndani ya CCM kurudi 55%. Akipata mpinzani strong nje ya CCM kurudi 45%.

4. Jimbo la Kinondoni- Mh. Tarimba Abbas Gulam. Akipata mpinzani strong ndani ya CCM kurudi 49%. Akipata mpinzani strong nje ya CCM kurudi 52%.

5. Jimbo la Temeke- Mh. Dorothy George Kilave wa CCM (sina taarifa).

6. Jimbo la Kibamba- Mh. Issa Mtemvu. Akipata mpinzani strong ndani ya CCM kurudi 56%. Akipata mpinzani strong nje ya CCM kurudi 48%.

7. Jimbo la Kigamboni (halina mbunge baada ya kifo cha Faustine Engelbert Ndugulile wa CCM).

8. Jimbo la Ubungo- Mh. Kitila Alexander Mkumbo. Akipata mpinzani strong ndani ya CCM kurudi 65%. Akipata mpinzani strong nje ya CCM kurudi 50%.

9. Jimbo la Mbagala- Mh. Abdallah Jafari Chaurembo. Akipata mpinzani strong ndani ya CCM kurudi 55%. Akipata mpinzani strong nje ya CCM kurudi 51%.

MKOA WA MOROGORO:

1. Jimbo la Morogoro Mjini-Abdulaziz Mohamed Abood. Akipata mpinzani strong ndani ya CCM kurudi 95%. Akipata mpinzani strong nje ya CCM kurudi 95%.

2. Jimbo la Mvomero- Mh. Jonas Van Zeeland wa CCM (sina taarifa).

3. Jimbo la Kilombero- Mh. Abubakar Damian Asenga. Akipata mpinzani strong ndani ya CCM kurudi 50%. Akipata mpinzani strong nje ya CCM kurudi 57%.

4. Jimbo la Gairo- Mh. Ahmed Mabukhut Shabiby. Akipata mpinzani strong ndani ya CCM kurudi 99%. Akipata mpinzani strong nje ya CCM kurudi 99% (2020 alipita bila kupingwa).

5. Jimbo la Mlimba-Mh. Godwin Emanuel Kunambi. Akipata mpinzani strong ndani ya CCM kurudi 64%. Akipata mpinzani strong nje ya CCM kurudi 60% (2020 alipita bila kupingwa).

6. Jimbo la Morogoro Mashariki- Mh. Hamis Shabani Taletale. Akipata mpinzani strong ndani ya CCM kurudi 43%. Akipata mpinzani strong nje ya CCM kurudi 52% (2020 alipita bila kupingwa).

7. Jimbo la Kilosa- Mh. Palamagamba Aidan Kabudi. Akipata mpinzani strong ndani ya CCM kurudi 64%. Akipata mpinzani strong nje ya CCM kurudi 77% (2020 alipita bila kupingwa).

8. Jimbo la Mikumi- Mh. Dennis Londa. Akipata mpinzani strong ndani ya CCM kurudi 52%. Akipata mpinzani strong nje ya CCM kurudi 48%.

9. Jimbo la Kilombero- Mh. Abubakar Damian Asenga. Akipata mpinzani strong ndani ya CCM kurudi 50%. Akipata mpinzani strong nje ya CCM kurudi 57%.

10. Jimbo la Morogoro Kusini- Mh. Innocent Edward Kalogeris wa CCM (sina taarifa).

MKOA WA DODOMA:

1. Jimbo la Dodoma mjini- Mh. Anthony Peter Mavunde. Akipata mpinzani strong ndani ya CCM kurudi 58%. Akipata mpinzani strong nje ya CCM kurudi 83%.

2. Jimbo la Bahi- Mh. Kenneth Ernest Nollo wa CCM (sina taarifa).

3. Jimbo la Mtera- Mh. Livingstone Joseph Lusinde. Akipata mpinzani strong ndani ya CCM kurudi 55%. Akipata mpinzani strong nje ya CCM kurudi 51%.

4. Jimbo la Kibakwe- Mh. George Boniface Simbachawene. Akipata mpinzani strong ndani ya CCM kurudi 70%. Akipata mpinzani strong nje ya CCM kurudi 68%.

5. Jimbo la Kongwa-Mh. Job Yustino Ndugai. Akipata mpinzani strong ndani ya CCM kurudi 74%. Akipata mpinzani strong nje ya CCM kurudi 95%. (2020 alipita bila kupingwa).

6. Jimbo la Chamwino- Mh. Deogratius John Ndejembi. Akipata mpinzani strong ndani ya CCM kurudi 56%. Akipata mpinzani strong nje ya CCM kurudi 57%.

7. Jimbo la Chemba- Mh. Mohamed Lujuo Moni. Akipata mpinzani strong ndani ya CCM kurudi 54% Akipata mpinzani strong nje ya CCM kurudi 64%.

8. Jimbo la Kondoa Mjini- Juma Ally Makoa (sina taarifa).

9. Jimbo la Kondoa Vijijini-Ashatu Kachwamba Kijaji. Akipata mpinzani strong ndani ya CCM kurudi 52%. Akipata mpinzani strong nje ya CCM kurudi 60%.

* Tukutane tena Jumatano ijayo tutakuwa na majimbo ya mikoa ya Pwani, Tanga na Arusha. Itakuwa majimbo matatu matatu.
 
Kwa uchaguzi gani unaotelea hizi data? Chaguzi hizihizi za kishenzi ndio umekuja na tafiti hizi?
 
Jimbo la malinyi kwa Mgungusi vipi?
 
Huyu wa kibamba hata wapiga kura hawamjui jina alafu umempa asilimia kubwa kuliko uwezo wake wa kuchangia hoja pale mjengoni.
 
Kumbe jimbo la Ukonga limewekwa kama boya la kujazia nafasi za chama chakavu... 😳
 
Hizo asilimia umezipata vipi??
 
Back
Top Bottom