Tafiti Zimeonesha Matumizi makubwa ya viongozi, huchangia umaskini wa nchi za kiafrika.

Tafiti Zimeonesha Matumizi makubwa ya viongozi, huchangia umaskini wa nchi za kiafrika.

mockers

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2013
Posts
12,843
Reaction score
35,442
Utafiti hupingwa na utafiti
Chuo kikuu hicho kimesema ikiwa wakoloni waliweza kufanya maendeleo makubwa kuliko tawala za wazawa.
Watafiti wakasema " Usimamizi mbovu wa rasilimali za nchi za kiafrika ni tatizo jingine"
Watafiti wanasema matumizi ya fedha nyingi Kwa viongozi hupelekwa kwenye mambo yasiyo ya maendeleo hiyo huzidisha umaskini zaidi.
Watafiti wametolea mfano misafara mikubwa ya viongozi wa afrika hupoteza pesa nyingi sana na kupotezea muda wa uzalishaji wananchi wao kwani wananchi hukaa wakisubiri viongozi wapite,
Watafiti wanadai katika kila pesa 100% ni asilimia 20% hadi 30% huenda kwenye maendeleo na asilimia 60 hadi 70 ni matumizi yasiyo na tija.
 
Viongozi wengi wa Kiafrika ni wabinafsi sana, hawana maono na pia wengi wao ni waroho wakubwa wa madaraka.
 
Jana bajeti imesomwa kwa mbwembwe huku mimi nalala njaa
Bajeti za hovyo kabisa! Eti Kuna bima ya afya ya watu wote! Ya watumishi wa uma imewashinda imekuwa ni uharo na ushuzi mtupu eti wanaleta ya wote! Ni kIchekesho!
 
Haihitaji utafiti wa kina.
Angalia picha ya Mwigulu alivyoingia bungeni na Yale magari siku ya bajeti.
Angalia msafara wa makonda.
Angalia misafara ya naibu waziri mkuu,
Angalia misafara ya waziri mkuu.
Angalia misafara ya makamu wa rais.
Jikumbushe misafara ya Nyerere
Jikumbushe misafara ya Karume sio huyu, yule muasisi wa mapinduzi.
 
Yanayo endelea katika bara la Afrika,hasa kusini mwa Sahara desert ni uwazi wa mwafrika kushindwa kujitawala kama alivyo wahi sema P.W. Botha
 
Back
Top Bottom