Idugunde
JF-Expert Member
- May 21, 2020
- 7,748
- 10,288
Hii imethibitika dunia nzima. Maandamano ya wananchi waliochoka kuibiwa na kuteswa na madhalimu yana nguvu ya kuiangusha serikali dhalimu kuliko hata Mizinga na vifaru.
Mapinduzi ya ya Tunisia na Misri mwaka 2010 yanatupa mfano hai.
Ndio maana watawala wa kiafrika wanaogopa sana maandamano. Maana wananchi wakichoka hawaogopi risasi wala bomu.