Tafiti Zinaonesha,Nzi Watakuwa Wanatengeneza Asali Kama Nyuki Ifikapo Mwaka 2400

Tafiti Zinaonesha,Nzi Watakuwa Wanatengeneza Asali Kama Nyuki Ifikapo Mwaka 2400

Paspii0

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2020
Posts
638
Reaction score
1,043
Kutoka kwa nzi ambao wamejulikana kwa kusambaza magonjwa na kuwa kero kubwa kwa jamii, hadi kuwa viumbe wanaozalisha asali,hili linaweza kuwa mabadiliko yasiyoweza kuaminiwa, lakini tafiti za kisasa zinatoa dalili za mabadiliko makubwa ya kijenetiki.

Ikiwa mabadiliko haya yataendelea, je, dunia itashuhudia nzi wakigeuka kuwa magwiji wapya wa kuzalisha asali? Na je, mabadiliko haya ya kijenetiki yanaweza kubadili kabisa nafasi ya nzi katika mfumo wa maumbile, kutoka kuwa tishio hadi kuwa chanzo kipya cha utajiri wa asili?

Katika mtazamo huu wa ajabu, mustakabali wa nzi unakuwa swali kubwa linalosubiri kujibiwa na sayansi.

Bila shaka mdau wa JF utakae kuwepo mwaka 2400 utafurahia asali ya mdudu nzi!
 
Na nyuki watatengeneza nini? Wanasema fuata nyuki ule asali na fuata nzi ukaone kimba. Hiyo asali si itakuwa ya kikimbakimba? Mwaka 2400 ni karne nyingi zijazo na ni vizazi vingi vya wanajamii forum sijui ni member gani atafika mwaka huo na atakuwa ana miaka mingapi aone inzi akitengeneza asali
 
Asali huria itachuana na ile ya nyuki ,unaambiwa nyuki watakosa soko siwakali wanauma !,nzi atawavutia sana wawekezaji toka ghuba za uajemi na mashariki ya mbali
 
Asali huria itachuana na ile ya nyuki ,unaambiwa nyuki watakosa soko siwakali wanauma !,nzi atawavutia sana wawekezaji toka ghuba za uajemi na mashariki ya mbali
du! Hii kali
 
Back
Top Bottom