Tafiti zinaonesha Takwimu zenye ubora huchangia GDP kwa zaidi 1.5% Usiache kuhesabiwa 23|08|2022

Jabali la Siasa

JF-Expert Member
Joined
Jul 10, 2020
Posts
2,823
Reaction score
2,466
[

]

" Tafiti zinaonesha upatikanaji na matumizi ya takwimu zenye ubora huchangia mpaka asilimia 1.5% ya pato la Taifa( GDP),

Hii inaonesha umuhimu wa kazi mliyopewa kwani takwimu za sensa Agosti23, 2022 ndio zitatumika kuandaa Dira ya Pili ya Taifa ya 2025-2050 baada ya kumalizika Dira ya sasa miaka3 ijayo ya 2000- 2025.

Takwimu za Sensa sio tu zinatumika kuamua mipango na Programu za Serikali bali pia maamuzi ya wawekezaji ndani na hata kuvuta mitaji kutoka nje( FDI),

Wawekezaji wanajua tupo uchumi wa kati, lakn wanahitaji kujua tuna nguvu kazi kiasi gani, watoto na wazee, hali zetu za makazi na mtawanyo wa huduma za kiuchumi na kijamii.

Wakati Mhe.Rais SSH anakwenda kuwa Rais wa Pili kuandaa Dira ya Taifa( 2025-20250),

Sisi pia tunapata heshima ya kusimamia Sensa ambayo ni zana( tool) muhimu kwenya maandalizi ya Dira hiyo ya pili, hivyo tuchukue kwa uzito heshima hii kwa kutenda kwa weledi kazi hii.

Nimaneno ya Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Mhe David Kafulila alipowafunda vijana walioteuliwa kusimamia na kutekeleza zoezi la Senza ya Watu na makazi itakayofanyika mwishoni mwamwezi ujao.
 
Huyu jamaa ananifanya nitamani LISSU &ZITTO nao waje CCM tujenge nchi yetu
 
[
View attachment 2306239

Tuchape kazi tuu
 
KAZI INAFANYIKA
 
Kafulila nimeanza kumwelewa sasa, huyu mtu ni hazina Sana kwa Taifa
Jamaa anapoint balaa

#Maendeleo hayana Chama
Nilikuwa Chadema nahamia CCM
Kafulila ni levels zingine kabisa, anastahili pongezi,
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Juzi kati kapiga stop michomoko wakawa jobless nae leo ni jobless na nondo zake ....ajiajiri sasa sio kujifanya wanajuaaa kumbe wakija mtaani ni weupeeeee.

Sent from my SM-M305F using JamiiForums mobile app
 
[
View attachment 2306239

]

" Tafiti zinaonesha upatikanaji na matumizi ya takwimu zenye ubora huchangia mpaka asilimia 1.5% ya pato la Taifa( GDP),

Hii inaonesha umuhimu wa kazi mliyopewa kwani takwimu za sensa Agosti23, 2022 ndio zitatumika kuandaa Dira ya Pili ya Taifa ya 2025-2050 baada ya kumalizika Dira ya sasa miaka3 ijayo ya 2000- 2025.

Takwimu za Sensa sio tu zinatumika kuamua mipango na Programu za Serikali bali pia maamuzi ya wawekezaji ndani na hata kuvuta mitaji kutoka nje( FDI),

Wawekezaji wanajua tupo uchumi wa kati, lakn wanahitaji kujua tuna nguvu kazi kiasi gani, watoto na wazee, hali zetu za makazi na mtawanyo wa huduma za kiuchumi na kijamii.

Wakati Mhe.Rais SSH anakwenda kuwa Rais wa Pili kuandaa Dira ya Taifa( 2025-20250),

Sisi pia tunapata heshima ya kusimamia Sensa ambayo ni zana( tool) muhimu kwenya maandalizi ya Dira hiyo ya pili, hivyo tuchukue kwa uzito heshima hii kwa kutenda kwa weledi kazi hii.

Nimaneno ya Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Mhe David Kafulila alipowafunda vijana walioteuliwa kusimamia na kutekeleza zoezi la Senza ya Watu na makazi itakayofanyika mwishoni mwamwezi ujao.
Tanzania imepata rais wakupigiwa mfano duniani
 
Kwa pamoja tukahesabiwe
 
Tumbili poleee
 
This man ni hazina kwa Taifa letu,We need people of this kind, wenye hoja wakati wote
 
Back
Top Bottom