Moto wa volcano
JF-Expert Member
- Jun 3, 2018
- 2,682
- 6,638
Huyo hakufai piga chiniWangu namvutia upepo tu make anajifanya Martha Karua amekaa ki harakati harakati tu.
Haswa waliosoma na wenye kazi hao ni shida unyenyekevu ni sifuriWanawake wa kizazi cha sasa ni kibriii sana
Wasomi jeuri ndioomaana wengi ndoa zimewashindaMWANAMKE wa kuoa Asiwe amevuka form four utaenjoy balaa ,,,,,,,na balaa oa hivi visomi uchwara
wakati unamvutia upepo na yeye anakuvutia upepo uwe ndondocha. Fukuza haraka sanaWangu namvutia upepo tu make anajifanya Martha Karua amekaa ki harakati harakati tu.
Kisomi afu kiwe na Kazi 🤣🤣 hakuna Rangi utaaacha onaMWANAMKE wa kuoa Asiwe amevuka form four utaenjoy balaa ,,,,,,,na balaa oa hivi visomi uchwara
🤣🤣Hilo ni chaguo lakoWangu namvutia upepo tu make anajifanya Martha Karua amekaa ki harakati harakati tu.
Hakuna kuachana Wala hakikisho la kudumu Kwa ndoa!!we kaa Kaa tu kama kichaa vile!Hakuna mwanaume anabakiwa na hasira zile zile akiambiwa bby am sorry
na hakuna mwanaume anaweza kumvumilia mwanamke akiwa jeuri / mjuaji
HhhhhhhhMimi Huwa naambiwa kwa hiyo unataka tukupigie magoti na tukunyenyekee namwangalia tu sijui kama huu mwaka utaisha bila kumpa taraka ili aje atakae ninyenyekea na kunipigia magoti
Hawaelewi hao wafundeSorry
ni very simple, ukishindwa hiyo sijui
Tongue hiyo kauliKikao cha mambwa 😹😹
Naendelea kukusanya maoni yenu ili tukawajadili kamati ya maadili..!!
Wewe ni ZUBE 😹Mimi Huwa naambiwa kwa hiyo unataka tukupigie magoti na tukunyenyekee namwangalia tu sijui kama huu mwaka utaisha bila kumpa taraka ili aje atakae ninyenyekea na kunipigia magoti