Tafran Maji UDOM!?

Tafran Maji UDOM!?

Ilonza

Senior Member
Joined
Jan 11, 2011
Posts
119
Reaction score
13
Tayari moja ya matatizo yaliyosababisha mgomo mkubwa udom wa takriban siku 9 miezi kadhaa iliyopita yanarudi kwa mara nyingine.wanafunzi wanapanga foleni ndefu kwa muda mrefu,kama wanafanya maandamano vile kumbe wanasubiri maji.Na huu ni uzembe wa makusudi wa menejimenti ya chuo kwani wanafunzi wakiamua kuandamana utashangaa maji yanatoka kama kawaida.mimi kama mwanajamii wa Udom naishauri menejiment kuchukua hatua za haraka ili kuzima vuguvugu zinaloendelea Udom.
 
.mimi kama mwanajamii wa Udom naishauri menejiment kuchukua hatua za haraka ili kuzima vuguvugu zinaloendelea Udom.

ndio umekuja kuishauria hapa au ulishaonana na hiyo management??
 
nenda kwenye web yao na fanya contact na menejimenti ya pale
 
Nenda kamwambie ex-President Mkapa si ndio mlezi wako?
 
Back
Top Bottom