Tayari moja ya matatizo yaliyosababisha mgomo mkubwa udom wa takriban siku 9 miezi kadhaa iliyopita yanarudi kwa mara nyingine.wanafunzi wanapanga foleni ndefu kwa muda mrefu,kama wanafanya maandamano vile kumbe wanasubiri maji.Na huu ni uzembe wa makusudi wa menejimenti ya chuo kwani wanafunzi wakiamua kuandamana utashangaa maji yanatoka kama kawaida.mimi kama mwanajamii wa Udom naishauri menejiment kuchukua hatua za haraka ili kuzima vuguvugu zinaloendelea Udom.