Hute
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 6,537
- 6,472
mswahili kwa kawaida,
1. mtu wa pwani, anayepiga porojooo, akianza kuongea hapa maneno hayaishi
2. mswahili ni mtu msanii, mtanzania msaniii anayeweza kukuingiza mjini kwa maneno usipokuwa makini.
3. mswahili mtu masikini anayeishi uswahilini kama vile mbagala, manzese, magomeni etc..ulishawai kuishi na mzaramo kwenye nyumba moja? utajuta kumfahamu, hadi watoto wanaharibika tabia kutokana na maneno yanayotoka mdomoni mwake....
4. mswahili ni mtu anayependa madawa ya kienyenye, ya kiswahili...hasa wanawake wanaoweka limbwata..dah, nyingine malizieni...
5. mswahili ni mtu mvivu, anayetandika mkeka, kucheza bao tu alafu mwishowe anakuja kulalamikia umasikini na kuwaonea wivu waliokuwa wakipiga kazi..