Gari ni nyenzo ya kukutoa sehemu moja hadi nyingine...Ukiweza kukumbuka ktk ndoto watu wengine uliokua nao Au mahali ulipopeleka Au mahali lilipoharibika ndio Mara nyingi Inakuwa original ya tatizo either ni jambo LA familia, kurithi Au kazini Au rafiki Au jirani etc. Ni ujumbe unapewa jambo unalofanya ktk eneo Fulani huwezi move unakotaka kwenda otherwise urekebishe mahali. Iombee ndoto yako Mungu atakuonyesha njia na kukuepusha na mikwamo Yeyote ..pia Kuna ni mkisto Tafuta Kisa kinachoendana na ndoto yako kwenye biblia utapata message pia kwa njia hiyo..
Sent using
Jamii Forums mobile app