Tafsiri Hii njozi

Tafsiri Hii njozi

mathsjery

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2015
Posts
2,249
Reaction score
1,813
Gari limeharibika likapelekwa kwa fundi fundi alipoliona akawaambia walolileta lirudisheni kule lilikoharibikia itawezekana kulirekebisha
*Hii ni ndoto/maono nimeona*

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna tatizo kwenye maisha kama siyo yako ya mtu wa jirani yako ambalo hautaweza kulitatua bila kujua chanzo chake, fuatilia chanzo chake umalize tatizo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sijajua imani yako mkuu
Lakini kwa haraka haraka gari ni kiwakilishi cha safari inapoharibika inasimama. Kwa hio kuna vitu vimesimama kwenye maisha ama kwenye familia imani jamii kazi bishara nk. Unatakiwa ujitafakari ni wapi ulipoharibikiwa uanzie hapo kutengeneza. Mungu akuongoze ndugu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Gari linapo haribika, maisha yako yatasimama kuna vitu vitasimama kama huto omba mapema utaona vikitokea ktk ulimwengu wa mwili,

Huyo aliyesema rudisha gar lilipo linaweza kutengenezeka
Kutengeneza ingia ktk maombi msihi Mungu aingilie kati,

Ili mambo yako yasikwame,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Gari ni nyenzo ya kukutoa sehemu moja hadi nyingine...Ukiweza kukumbuka ktk ndoto watu wengine uliokua nao Au mahali ulipopeleka Au mahali lilipoharibika ndio Mara nyingi Inakuwa original ya tatizo either ni jambo LA familia, kurithi Au kazini Au rafiki Au jirani etc. Ni ujumbe unapewa jambo unalofanya ktk eneo Fulani huwezi move unakotaka kwenda otherwise urekebishe mahali. Iombee ndoto yako Mungu atakuonyesha njia na kukuepusha na mikwamo Yeyote ..pia Kuna ni mkisto Tafuta Kisa kinachoendana na ndoto yako kwenye biblia utapata message pia kwa njia hiyo..

Ahsante mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom