LIKUD
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 18,037
- 33,681
Ni kwamba tu Watanzania hatujui kusoma body language wala facial expression. Achilia mbali Telepathy
Ni hivi hayo maamuzi mabovu yanayo fanywa na Marefa in favour of Simba ni ujumbe anapewa Injinia.
" Kwamba, wewe Injinia si unajifanya hautoi hela kwa marefa, sasa wacha tukukomeshe"
Incase Injinia u don't get the message Mimi Mbaroko ndo nakujulisha".
Anza " kucheza" mechi za Simba.
Marefa wa Tz ni kama watoto wa kike. All they need is money.
" Nothing in this world can take the place of money in an area where money works "