Mpe kazi akufanyeTafuta kazi ya kufanya
Unatatizo la afya ya akiliMpe kazi akufanye
Hapana Niko timamuUnatatizo la afya ya akili
Unatatizo la afya ya akiliHapana Niko timamu
Niko sawa kabisaUnatatizo la afya ya akili
Sawa Nenda rebaNiko sawa kabisa
Umepata uchunguSawa Nenda reba
Ni kwamba tu Watanzania hatujui kusoma body language wala facial expression. Achilia mbali Telepathy
Ni hivi hayo maamuzi mabovu yanayo fanywa na Marefa in favour of Simba ni ujumbe anapewa Injinia.
" Kwamba, wewe Injinia si unajifanya hautoi hela kwa marefa, sasa wacha tukukomeshe"
Incase Injinia u don't get the message Mimi Mbaroko ndo nakujulisha".
Anza " kucheza" mechi za Simba.
Marefa wa Tz ni kama watoto wa kike. All they need is money.
" Nothing in this world can take the place of money in an area where money works "
Amepakatwa kama mtotoKwa hiyo leo Simba kabebwa sehemu gani?
Yanga mwenzangu. Ile penalty ni halali wala haina haja ya kuwashtua jamaa walalamike juzi tulifunga goal la mkono.Ni kwamba tu Watanzania hatujui kusoma body language wala facial expression. Achilia mbali Telepathy
Ni hivi hayo maamuzi mabovu yanayo fanywa na Marefa in favour of Simba ni ujumbe anapewa Injinia.
" Kwamba, wewe Injinia si unajifanya hautoi hela kwa marefa, sasa wacha tukukomeshe"
Incase Injinia u don't get the message Mimi Mbaroko ndo nakujulisha".
Anza " kucheza" mechi za Simba.
Marefa wa Tz ni kama watoto wa kike. All they need is money.
" Nothing in this world can take the place of money in an area where money works "
Hapana,hivi unaweza kuamini maagizo ya kuibeba Simba msimu huu yametoka Jumba jeupe?!Ni kwamba tu Watanzania hatujui kusoma body language wala facial expression. Achilia mbali Telepathy
Ni hivi hayo maamuzi mabovu yanayo fanywa na Marefa in favour of Simba ni ujumbe anapewa Injinia.
" Kwamba, wewe Injinia si unajifanya hautoi hela kwa marefa, sasa wacha tukukomeshe"
Incase Injinia u don't get the message Mimi Mbaroko ndo nakujulisha".
Anza " kucheza" mechi za Simba.
Marefa wa Tz ni kama watoto wa kike. All they need is money.
" Nothing in this world can take the place of money in an area where money works "
Ushabiki tu hakuna cha maana,kwanza aliwahi kusema hili Msimbazi pawe vizuri inabidi Mlio wa Ng'ombe aachie timu (sijui aliwaza nini hapa) baada ya siku chache walikaa na mlio kuona wanawezaje kuliweka sawa hili suala,mlio akapewa mission mwaka huu afanye juu chini ahakikishe Timu inakaa level na haga akikwama kwenye usajili aseme anataka mchezaji gani jumba jeupe litatoa hela..Haya mambo mnayoyaona kwa sasa msifikiri yanatokea kwa bahati mbaya haya maelekezo wanayo FFT,baadhi ya wachezaji wa timu za ligi kuu,na baadhi ya marefa.Usije ukashangaa kuna marefa wakawa wanajirudia kwenye mechi za Simba..One day utairudia hii comment LIKUD ingawa kuna watu watapita na kusema hii ni chaiHow? And why?
JF ndio imefikia huku!Ushabiki tu hakuna cha maana,kwanza aliwahi kusema hili Msimbazi pawe vizuri inabidi Mlio wa Ng'ombe aachie timu (sijui aliwaza nini hapa) baada ya siku chache walikaa na mlio kuona wanawezaje kuliweka sawa hili suala,mlio akapewa mission mwaka huu afanye juu chini ahakikishe Timu inakaa level na haga akikwama kwenye usajili aseme anataka mchezaji gani jumba jeupe litatoa hela..Haya mambo mnayoyaona kwa sasa msifikiri yanatokea kwa bahati mbaya haya maelekezo wanayo FFT,baadhi ya wachezaji wa timu za ligi kuu,na baadhi ya marefa.Usije ukashangaa kuna marefa wakawa wanajirudia kwenye mechi za Simba..One day utairudia hii comment LIKUD ingawa kuna watu watapita na kusema hii ni chai