TAFSIRI kuhusu maamuzi mabovu yanayo fanywa na waamuzi kuipendelea Simba

Pole sana kwa maumivu makubwa siku kama hii

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
 
Wanabebwa sana lakini dawa yao ni ndogo ishaanza kufanya kazi,,watu wa namna iyo aitakiwi kuangaika nao Wala kupiga kelele ni kudili nao kimya Kimya wakiweka 50 tunaweka 100, alafu tuone mwisho wa msimu nani bingwa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…