cheka uongeze cku za kuishi....kuna kipindi alinigomea yeye kabisa, yaani alinichunia haswaa, bac shughuli ikanipata, mara upo jikoni unajifanya jiko limeleta shoti bac unapiga ka ukelele, akija huko c amekacrika? anakukuta umejilaza chini, ukishika mkono unalia, ukishikwa shingo unaumia, umepatwa na nn hujibu, ukishikwa kiuno hapo hapo na wewe unang'ang'ania,...lol nyumba zina mambo jamani....hapo huwa nampaga ya funga mwaka....hata kupikwa cku hiyo hakuna mtaenda kula nje.
Nyamayao.......duh umehitimu dada yangu loh hapa machozi yananitoka kwa kucheka. Ehee wajifanya kiuno kimeumia akikosea kukigusa hapo hapo na unatoa dozi kubwa ......lol
ni nyingi sana pale unapotaka kuweka mambo sawa....
ha ha ha ha!
...mmnnnh, Nyamayao una mbinu kali! shida ya mtu kama wewe hubembelezeki kiurahisi.
" ...s'taki---- nataka--- s'taki!"...LOL!
...mmnnnh, Nyamayao una mbinu kali! shida ya mtu kama wewe hubembelezeki kiurahisi.
" ...s'taki---- nataka--- s'taki!"...LOL!
Mbona inasemekana mnaweza kukaa hadi miezi 6 ama tukiwepo ndo inakuwaga taab kabisa:smile-big:
miezi sita?........my luv hapa tunaongelea tukiwa kwenye mitafaruku, sasa tunataka kutumia njia hii kutatua, bac week ni kuba sana kama haujakamilisha mpango...vinginevyo kama kuna peace mbona mtu unakaa tu.
Si ndo maana sheria zetu haziruhusu kulala nje manake kuna mambo kama haya....LOL
Nyamayao.......duh umehitimu dada yangu loh hapa machozi yananitoka kwa kucheka. Ehee wajifanya kiuno kimeumia akikosea kukigusa hapo hapo na unatoa dozi kubwa ......lolSasa hapa Mbu mkuu angalia Luv Nyamayao na switushka MJ1 wataihamisha hii sredi sasa hivi...au wanataka ban nn>LOL......
...umeanza tena, ha ha ha!
miezi sita?........
hahahahha hapa itavaliwa ya Congo.. mkaka asimame aliwa mtupu atembee chumba kizima akijipitisha pitisha huku akimtikisa tikisa mhshmiwa.... kitaeleweka tu! Hahahaha mi ctaki
Mbu kuna unachontafuta haki ya nani leo!!
my luv hapa tunaongelea tukiwa kwenye mitafaruku, sasa tunataka kutumia njia hii kutatua, bac week ni kuba sana kama haujakamilisha mpango...vinginevyo kama kuna peace mbona mtu unakaa tu.
Sasa hapa Mbu mkuu angalia Luv Nyamayao na switushka MJ1 wataihamisha hii sredi sasa hivi...au wanataka ban nn>LOL......
[/COLOR]
kuna wakati niligoma na yeye akaendeleza mgomo bila huruma, khaa nilifanya jitihada za kumtega mpaka tukaenda sambaba...dearest ulishawahi kujipikilisha uchi? bac unashika hiki unaacha unagusa hiki, unampitisha hapa, mara umeenda kubadili channel, mara cjui kitu gani, mbona uzalendo ulimshinda?
Tatizo maty unakosea wewe unasoma post huku unajenga picha kabisa kichwani ........hahahahaHakyanani MJ1 kweli leo umekunywa valuu yaani nimecheka mpaka basi nilikuwa najickia kahoma kwa mbali nako kameondoka mwe JF
......Mbu nshamwambia Mod kabisaaa BAN yangu utakula wewe maana ndo unayesababisha!!!
Hapa sijui ndo wako katika hatua ya mwisho ya mgomo na ya mwanzo ya kuumaliza tatizo sasa nani aanzishe ushirikiano? Hahaha mi ctaki uchokozi jamani!!