Tafsiri kwa Picha!

Tafsiri kwa Picha!

cheka uongeze cku za kuishi....kuna kipindi alinigomea yeye kabisa, yaani alinichunia haswaa, bac shughuli ikanipata, mara upo jikoni unajifanya jiko limeleta shoti bac unapiga ka ukelele, akija huko c amekacrika? anakukuta umejilaza chini, ukishika mkono unalia, ukishikwa shingo unaumia, umepatwa na nn hujibu, ukishikwa kiuno hapo hapo na wewe unang'ang'ania,...lol nyumba zina mambo jamani....hapo huwa nampaga ya funga mwaka....hata kupikwa cku hiyo hakuna mtaenda kula nje.

Si ndo maana sheria zetu haziruhusu kulala nje manake kuna mambo kama haya....LOL
 
NYAMAYAO,
umeua mama.....!
yani umepoteza mbayaaaaaaaaaaaaaaa
 
Nyamayao.......duh umehitimu dada yangu loh hapa machozi yananitoka kwa kucheka. Ehee wajifanya kiuno kimeumia akikosea kukigusa hapo hapo na unatoa dozi kubwa ......lol

ehhh, saa huko mkishamaliza hicho kibarua ujue na matatizo yenu pia yamepata utatuzi, hapo mtaanza kuweka mezani kilichopelekea mgono etc, baada ya 1 hr haaa kila kitu shwari....inabidi wakati mwingine mtu uwe chizi tu sasa utafanyaje?
 
80620653.jpg

...mmnnnh, Nyamayao una mbinu kali! shida ya mtu kama wewe hubembelezeki kiurahisi.
" ...s'taki---- nataka--- s'taki!"...LOL!
ha ha ha ha!
bidada anaelekea kukubali na kutanua miguu very soon
 
80620653.jpg

...mmnnnh, Nyamayao una mbinu kali! shida ya mtu kama wewe hubembelezeki kiurahisi.
" ...s'taki---- nataka--- s'taki!"...LOL!

kaka....kuna wakati mtu unakuwa busy huko ndani wewe acha tu...mpaka kieleweke ndio kauli mbiu.
 
Nyamayao na MJ1..........you rock!!
Mmh.....sasa kuna mtu anatafuta 'somo' kwenye kitchen party yake....mnasemaje?!!
 
Mbona inasemekana mnaweza kukaa hadi miezi 6 ama tukiwepo ndo inakuwaga taab kabisa:smile-big:

my luv hapa tunaongelea tukiwa kwenye mitafaruku, sasa tunataka kutumia njia hii kutatua, bac week ni kuba sana kama haujakamilisha mpango...vinginevyo kama kuna peace mbona mtu unakaa tu.
 
my luv hapa tunaongelea tukiwa kwenye mitafaruku, sasa tunataka kutumia njia hii kutatua, bac week ni kuba sana kama haujakamilisha mpango...vinginevyo kama kuna peace mbona mtu unakaa tu.
miezi sita?........
 
Nyamayao.......duh umehitimu dada yangu loh hapa machozi yananitoka kwa kucheka. Ehee wajifanya kiuno kimeumia akikosea kukigusa hapo hapo na unatoa dozi kubwa ......lol
Sasa hapa Mbu mkuu angalia Luv Nyamayao na switushka MJ1 wataihamisha hii sredi sasa hivi...au wanataka ban nn>LOL......

@Kaizer...ha ha ha, umeshtukia ee? aaah...uzuri wao wote wawili hutumia lugha za khanga za mombasa. Kasheshe waje wanaoharibu lugha...wasojua tofauti ya 'kata na upawa!'
MwanajamiiOne darasa umelipenda, dont try that at home bana...he he he!
 
hahahahha hapa itavaliwa ya Congo.. mkaka asimame aliwa mtupu atembee chumba kizima akijipitisha pitisha huku akimtikisa tikisa mhshmiwa.... kitaeleweka tu! Hahahaha mi ctaki

Mbu kuna unachontafuta haki ya nani leo!!

Hakyanani MJ1 kweli leo umekunywa valuu yaani nimecheka mpaka basi nilikuwa najickia kahoma kwa mbali nako kameondoka mwe JF
 
my luv hapa tunaongelea tukiwa kwenye mitafaruku, sasa tunataka kutumia njia hii kutatua, bac week ni kuba sana kama haujakamilisha mpango...vinginevyo kama kuna peace mbona mtu unakaa tu.

Ahaaa.....kumbe!:tape:
 
......Mbu nshamwambia Mod kabisaaa BAN yangu utakula wewe maana ndo unayesababisha!!!

Hapa sijui ndo wako katika hatua ya mwisho ya mgomo na ya mwanzo ya kuumaliza tatizo sasa nani aanzishe ushirikiano? Hahaha mi ctaki uchokozi jamani!!​
 
Sasa hapa Mbu mkuu angalia Luv Nyamayao na switushka MJ1 wataihamisha hii sredi sasa hivi...au wanataka ban nn>LOL......

sema huu mgomo kuna wakati una adhari zake, ukikuta na yeye cku hiyo kichwa yake imekaa kushoto, bac imekula kwangu...lol...ndio jitahada za ziada znatakiwa kufanyia shap shap kuokoa jahazi.
 
[/COLOR]

kuna wakati niligoma na yeye akaendeleza mgomo bila huruma, khaa nilifanya jitihada za kumtega mpaka tukaenda sambaba...dearest ulishawahi kujipikilisha uchi? bac unashika hiki unaacha unagusa hiki, unampitisha hapa, mara umeenda kubadili channel, mara cjui kitu gani, mbona uzalendo ulimshinda?

Jamani kuna watoto hapa natamani hili li screen ningelibeba nikajibanze nalo ****** ili nikacheke kwa uhuru lol
 
Hakyanani MJ1 kweli leo umekunywa valuu yaani nimecheka mpaka basi nilikuwa najickia kahoma kwa mbali nako kameondoka mwe JF
Tatizo maty unakosea wewe unasoma post huku unajenga picha kabisa kichwani ........hahahaha

Mwenzangu hata sijijui, sijitambui sijui ndo mwaita hangover za Mountain Dew lol.. nyamayao huyo na Mbu wameanzisha.
 
......Mbu nshamwambia Mod kabisaaa BAN yangu utakula wewe maana ndo unayesababisha!!!

Hapa sijui ndo wako katika hatua ya mwisho ya mgomo na ya mwanzo ya kuumaliza tatizo sasa nani aanzishe ushirikiano? Hahaha mi ctaki uchokozi jamani!!

c umeona mdada kama ameanza ku smile? bac hapo kaka anahokoza anaacha anachokoza anaacha, sasa mdada temp ipo kiwango cha juu, hataki kuanza anataka alieanza amalizie, huyo kaka nae kazubaa, ikifikia hapo mkaka akijaribu tu kugusa kidogo mambo shwari, au mdada akiona amechokozwa halafu mkaka kakaa dk tano hajaendelea na uchokozi nae anamuhitaji ndio zile unanyanyuka kwenda toilet bac c unampitia kwa juu? hapo hapo unajifanya kama umeshuka kitandani vibaya...bac atakudaka....endelea na filamu hapo.
 
Back
Top Bottom