Tafsiri: Mkurungu kwa Kiingereza Unaitwaje?

Tafsiri: Mkurungu kwa Kiingereza Unaitwaje?

Ramthods

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2009
Posts
515
Reaction score
187
Wadau,

Kuna mti unaitwa Mkurungu. Hii miti ipo kule Tabora.

Kuna mtu anajua jina lake kwa kiingereza?

Asante.

Ben
 
Wadau,

Kuna mti unaitwa Mkurungu. Hii miti ipo kule Tabora.

Kuna mtu anajua jina lake kwa kiingereza?

Asante.

Ben

Nakutajia kilatini (scientific name)
Pterocarpus tinctorius waweza google ujue kama kuna English name yake, ila ni mti wa kwenye miombo so huenda lisiwe na jina la kijiji.
 
Nakutajia kilatini (scientific name)
Pterocaropus tinctorius waweza google ujue kama kuna English name yake, ila ni mti wa kwenye miombo so huenda lisiwe na jina la kijiji.

Mkuu, ubarikiwe sana.

Asante
 
Back
Top Bottom