Tafsiri na Ukalimani

Tafsiri na Ukalimani

JOESKY

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2015
Posts
816
Reaction score
2,034
Habari za majukumu ndugu wanajukwaa?

Napenda tufanye challenge kidogo ili kuboresha uwezo wetu wa kiingereza.

Sentensi hizi ukitaka kuzipeleka kwa lugha ya kiingereza Zinakuwaje:

1. KAMA NINGEKUWA MIMI

2. HII DUNIA INAENDA WAPI

3. USIJALI HATA KIDOGO

Karibuni tubadilishane na kupeana uwezo wa kuimudu lugha ya kiingereza.
 
1 if it was me
2 where is this world going?
3 never mind at all
 
Rekebisha hii kauli "Unajua kupeleka Swahili kwa kwenye English naona ni ngumu bila kubadili maana kidogo."
 
You are probably right.
Mimi naona hivi "Don't worry about anything" Unajua kupeleka Swahili kwa kwenye English naona ni ngumu bila kubadili maana kidogo.
Kuna kutranslate na ku transcreate na mara nyingi uwa tuna transcreate maana ukitranslate tu sometimes syntax zinakuwa haziko sawa, lakini uki transcreate unaadapt maana ya sentensi hata kwa kuongeza maneno mengine siyo kutafsiri neno kwa neno.
 
Back
Top Bottom