Tafsiri sahihi ya ubeberu

Tafsiri sahihi ya ubeberu

Mzungu yeyote anayeshirikiana na WAPINZANI Tanzania ni BEBERU.

Mzungu yeyote anayeshirikiana na CCM ni MDAU wa Maendeleo.
 
Labda hawa wanaweza kuelezea vizuri mabeberu ni nani
 
Mabeberu wajanja sana, wanamtandika mtu risasi za kuwindia ndege na sehemu wanayolenga ni miguu ili asife, kisha hao hao wanamtibia kwao huko wanampandikiza chuki kwa nchi yake kisha wanamtumia. Mazwazwa bila kujua wanaunga tela kumbe mtu wao mabeberu wameishamuwekea memory card mpya kwenye kichwa chake na uraia wameishampa iwapo mambo yakienda kombo anarudi kwa waliomtumia!
Thibitisha hilo,hawa mabeberu wanafanya yote hayo serikali ikiwa wapi?Incompetence of our organs?
Hao mabeberu ndiyo walimnyima mafao ya kimatibabu na kumvua ubunge?Tuwe realistic kidogo.
Hukumu ya Haki ni 28/10/2020,tunataka Uhuru wetu kwa maendeleo yetu.Twende na Mh.Lissu.
 
Hii ni lishaizungumzia umetumia silaha ya kujengea mtu hofu kumshambulia Mh Rais wa JMT na Amiri Jeshi Mkuu. Ila kwa JPM tumaneno hutu hatufui dafu. Mbinu hii mliitumia sana wakati wa Kikwete na mlifanikiwa na ilikuwa miradi yenye kuandikiwa andiko la kiutekelezaji ili kuondoa hofu ya rais asiye jiamini na mtegemea mngolitini.
Naona huna hoja unajambajamba tu. Kwa HERI ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Back
Top Bottom