Chachu Ombara
JF-Expert Member
- Dec 11, 2012
- 6,067
- 10,938
Hii kinaamanisha LISU na Lema wamo kiboksi cha 1, cha 2 na cha 3 hakina wanachama, wamewekewa wanaharakatiWakuu,
Masoud Kipanya huwa anaongea kwa lugha ya picha na kuachia hadhira kutafsiri kutokana na uelewa wa kila mmoja.
Je, hii picha yenye viboksi vitatu, ikiwa na rangi za CHADEMA lakini pia kiboksi cha kwanza kikiwa kimechorwa sehemu ya nyuma ya Pundamilia inamaanisha nini?
View attachment 3224803
Unamaanisha CHADEMA inafutika. Ni muono wako. Mwingine anaiona inachanua na kung'aa kwelikweli, na mwingine hawazi wala kuona lolote. Kwa hiyo wanaodhani wanaona zaidi wasijidanganye.
Huyu na ye ni wa kumpuuza tu... Asituumize kichwa. Toka atengeneza guta ya matairi manne na ya mafuta na kuiuza milioni 72 nilimdharau hapo hapo..
SIjasema hayo,Unamaanisha CHADEMA inafutika. Ni muono wako. Mwingine anaiona inachanua na kung'aa kwelikweli
HahahaaaaaHuyu na ye ni wa kumpuuza tu... Asituumize kichwa. Toka atengeneza guta ya matairi manne na ya mafuta na kuiuza milioni 72 nilimdharau hapo hapo..
Kuwa akiamua punda simba akasome?au anahama mwituni?
Wewe ulitengeneza Mkuu? Kidogo tu?Huyu na ye ni wa kumpuuza tu... Asituumize kichwa. Toka atengeneza guta ya matairi manne na ya mafuta na kuiuza milioni 72 nilimdharau hapo hapo..