DeepPond
JF-Expert Member
- Nov 18, 2017
- 41,728
- 103,997
Wakuu hii kitu "Kuhudumia" naona haiko sawa kabisa Kama vile wengi wanavoitafsiri. Wengi naona wanaichanganya na neno "Kuhonga"
Mtu ukimpa au kumlipia hela ya kula, mavazi , au makazi (Mahitaji ya lazima/basic needs) sidhani kama unakua umemhonga.
Maana naona hayo ni mahitaji ya muhimu kabisa ya binadamu kuweza kuishi. Ukimhudumia mwenza wako vitu kama hivyo sidhani kama ni sahii ukitafsirika kua ulikuwa unamhonga.
Naomba kuwasilisha[emoji120]