Tafsiri ya 'Kuhonga' irejewe upya, inachanganywa sana na 'Kuhudumia'

Tafsiri ya 'Kuhonga' irejewe upya, inachanganywa sana na 'Kuhudumia'

Kuhonga ni kwa mchepuko.

Kuhudimia ni kwa mke.

Kimoja ni lazima na kingine ni hiari.
 
Wakuu hii kitu "Kuhudimia" naona haiko sawa kabisa Kama vile wengi wanavoitafsiri. Wengi naona wanaichanganya na neno "Kuhonga"...
Friends with benefits! Unampa na wewe kuna anachokupa. Huna lengo la kusaidia na kujiendea zako kama unavyosaidia mtoto yatima. Hivyo msaada au ytoaji huo hauna tofauti na rushwa.
 
Chochote unachotoa kwa mwenza ambaye sio rasmi (aka micheps na mahaeara) ni KUHONGA TU

KUHUDUMIA ni kwa familia (mwenza rasmi).


PERIOD!!!!!!+
 
Inasemakana kama hujamuoa vyovyote utakavyompa ni unamuhonga, au kwa lugha fupi unajaribu kumshawishi...

Siku mkimpishana kauli kwa bahati mbaya utasikia sii ulikua unanipa mwenyewe kwani nilikuomba...
 
kuhonga ni kuhududumia kwa sababu zisizo za msingi mfano:

una kimada ambaye hujamuoa wewe unajitia kumuhudumia kila kitu wakati sio familia yako hio
 
Kuhonga ni kumpa mtu kitu kwa minajili ya kupata kitu toka kwake( hongo sio halali) mtu haridhii nafsini mwake badala yake anakupa kitu kwasababu tu wewe pi umampa kitu.

Hata umpe maji wakati ana kiu huku wewe ukitaka mbusus bado hiyo ni hongo tu na sio msaada.

Wewe DeepPond kwa ule mchepuko wako unahonga wala huuhudumii.
Akikata tu huduma ya mbususu kwako sidhani kama hizo hongo zitaendelea.
 
Back
Top Bottom