Sio Africa ni Kenya kuna uhuru wa mahakama.
WordSio Africa ni Kenya kuna uhuru wa mahakama.
Afrika au Kenya?Tz kwetu vipi?Ndugu zangu,
Tafsiri yake; Kilichoangaliwa na Majaji si matokeo , bali mchakato wa uchaguzi. Kwamba mchakato ulikuwa batili. Na ilivyo, mchakato unaweza kuathiri matokeo.
Kenya imethibitisha kuwa Mahakama ni kimbilio la mnyonge na mwenye nguvu. Ndivyo inavyotakiwa iwe. Raila Odinga alionekana kichekesho na wale waliokuwa wakiamini kuwa Afrika mgombea aliye madarakani akishinda ni kujisumbua kwenda mahakamani. Hongera Sana Kenya kwa kuionyesha dunia kuwa Afrika uhuru wa Mahakama upo, na kwamba anayeshindwa uchaguzi kama anaona hakutendewa haki aende mahakamani, na si kuandamana na kufanya vurugu.
Maggid,
Iringa.
Maggid wewe ni mnafiki Sana, hakuna mtu mnafiki Kama wewe.Ndugu zangu,
Tafsiri yake; Kilichoangaliwa na Majaji si matokeo , bali mchakato wa uchaguzi. Kwamba mchakato ulikuwa batili. Na ilivyo, mchakato unaweza kuathiri matokeo.
Kenya imethibitisha kuwa Mahakama ni kimbilio la mnyonge na mwenye nguvu. Ndivyo inavyotakiwa iwe. Raila Odinga alionekana kichekesho na wale waliokuwa wakiamini kuwa Afrika mgombea aliye madarakani akishinda ni kujisumbua kwenda mahakamani. Hongera Sana Kenya kwa kuionyesha dunia kuwa Afrika uhuru wa Mahakama upo, na kwamba anayeshindwa uchaguzi kama anaona hakutendewa haki aende mahakamani, na si kuandamana na kufanya vurugu.
Maggid,
Iringa.
Mkuu siku 60 sio nyingi Uhuru atashinda tena. Hii kaulk yako itakurudiaUkiungana na chadema lazima uangukie pua kama hivi.
kweli ukiwa na akili ya ndezi hutoelewa lolote. dunia nzima wanaipongeza mahakama ya kenya lakini hilo hujaliona umeiona chadema . CCM imelaaniwaUkiungana na chadema lazima uangukie pua kama hivi.
wenzetu mahakama zina maamuzi siyo kama Tanzania .angekubali matokeo tuSipati picha Kama Raila angeshinda urais, alafu mahakama ikaja kutoa maamuzi kama ya leo..