Tafsiri Ya Mahakama Kuu Kenya Kutangaza Uchaguzi Mkuu Kenya Ni Batili..

Tafsiri Ya Mahakama Kuu Kenya Kutangaza Uchaguzi Mkuu Kenya Ni Batili..

Wapenda mabadiliko ya kweli tukomae na katiba mpya itayoleta mapinduzi ya msingi. Upinzani wanatuzingua na siasa zao za matukio ..

Tuliyo nayo haifuatwi ,hiyo mpya itafuatwa na nani ?..
 
Cha muhimu ni mahakama za nchi zingine za afrika ziwe huru km ya Kenya.
 
Sipati picha Kama Raila angeshinda urais, alafu mahakama ikaja kutoa maamuzi kama ya leo..
Kenya pangechimbika.
Wapinzani huwa wanaamini haki ya kimahakama wanaposhinda wao tu.
Wakishindwa ni balaa.
 
Sipati picha Kama Raila angeshinda urais, alafu mahakama ikaja kutoa maamuzi kama ya leo..
Duh umefikiri vizuri sana, tunapoangalia scenario moja na kuipongeza ni vizuri kuangalia angle zote.
 
Ndugu zangu,

Tafsiri yake; Kilichoangaliwa na Majaji si matokeo , bali mchakato wa uchaguzi. Kwamba mchakato ulikuwa batili. Na ilivyo, mchakato unaweza kuathiri matokeo.

Kenya imethibitisha kuwa Mahakama ni kimbilio la mnyonge na mwenye nguvu. Ndivyo inavyotakiwa iwe. Raila Odinga alionekana kichekesho na wale waliokuwa wakiamini kuwa Afrika mgombea aliye madarakani akishinda ni kujisumbua kwenda mahakamani. Hongera Sana Kenya kwa kuionyesha dunia kuwa Afrika uhuru wa Mahakama upo, na kwamba anayeshindwa uchaguzi kama anaona hakutendewa haki aende mahakamani, na si kuandamana na kufanya vurugu.

Maggid,

Iringa.
Vipi wabunge nao wanarudi kuomba kura?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
I took more than 4 days, fierce legal battle na 4 out of 6 judges kusweat na kutoa maamuzi magumu. Fast rewind 2015 in Zanzibar. It took 2 minutes and only one man to turn everything upside down. Eid Mubarak to the man himself - Jecha!
 
Majid,

Unadhani viongozi wetu wana lolote la kujifunza kwenye hili? Naamini chama chetu tawala watakuwa wanamcheka Uhuru kwa kuruhusu hili!! Angalia alichofanya Jecha Zanzibar!!
Majid mahakama imefanya mapinduzi.na c kila anachopewa mpinzani maana ake sahihi vp km raila angebwagwa.UNGESEMAJE MR MJENGWA?!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa kweli hata mie nawashangaa hawa nywele ngumu wenzangu.kila akishinda kesi mpinzani mahakama imetenda haki.lkn mpinzani akibwagwa TATIZO MAHAKAMA ZA KIAFRIKA HAZITENDI HAKI.jiulize km raila angeshinda uchaguzi.halafu uhuru kenyata akaenda mahamani na akashinda.vp c vita ingetokea??!! Na kenya ingenyimwa misaada.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wapenda mabadiliko ya kweli tukomae na katiba mpya itayoleta mapinduzi ya msingi. Upinzani wanatuzingua na siasa zao za matukio ..
Hata unajulikana? Ukianza kuwatenga watu(wapinzani) huna la maana utakalolifanya hata hao unawashabikia wana kauli mbiu "Umoja ni ushindi"
 
Back
Top Bottom