The Khoisan
JF-Expert Member
- Jun 5, 2007
- 16,434
- 14,547
Demokrasia Africa ni RSA, Ghana, Kenya, Namibia na Mauritius!!Hyo Ni Kenya Tu,kungineko Km Tanzania Rwanda Uganda Burundi Congo Hakuna K2 Km Hicho
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Demokrasia Africa ni RSA, Ghana, Kenya, Namibia na Mauritius!!Hyo Ni Kenya Tu,kungineko Km Tanzania Rwanda Uganda Burundi Congo Hakuna K2 Km Hicho
Sio Africa ni Kenya kuna uhuru wa mahakama.
Wapenda mabadiliko ya kweli tukomae na katiba mpya itayoleta mapinduzi ya msingi. Upinzani wanatuzingua na siasa zao za matukio ..
Kenya pangechimbika.Sipati picha Kama Raila angeshinda urais, alafu mahakama ikaja kutoa maamuzi kama ya leo..
Duh umefikiri vizuri sana, tunapoangalia scenario moja na kuipongeza ni vizuri kuangalia angle zote.Sipati picha Kama Raila angeshinda urais, alafu mahakama ikaja kutoa maamuzi kama ya leo..
Vipi wabunge nao wanarudi kuomba kura?Ndugu zangu,
Tafsiri yake; Kilichoangaliwa na Majaji si matokeo , bali mchakato wa uchaguzi. Kwamba mchakato ulikuwa batili. Na ilivyo, mchakato unaweza kuathiri matokeo.
Kenya imethibitisha kuwa Mahakama ni kimbilio la mnyonge na mwenye nguvu. Ndivyo inavyotakiwa iwe. Raila Odinga alionekana kichekesho na wale waliokuwa wakiamini kuwa Afrika mgombea aliye madarakani akishinda ni kujisumbua kwenda mahakamani. Hongera Sana Kenya kwa kuionyesha dunia kuwa Afrika uhuru wa Mahakama upo, na kwamba anayeshindwa uchaguzi kama anaona hakutendewa haki aende mahakamani, na si kuandamana na kufanya vurugu.
Maggid,
Iringa.
sisi kimara tumepata stop order ya mahakama lakini nyumba wamevunja, kweli utawala wa sheria hapa bado sanaChadema sijawasikia watoe tamko.... walikuwa wanamuunga mkojo Uhuru kanyata...
Sent using Jamii Forums mobile app
Chezea The Hague wewe,Uhuru hawezi kuleta ngebe tena maana nakumbuka yaliyotaka kumpata.Kamwene bela maggid .
Aisee mahakama za Kenya zimeweka historia ya kipekee duniani.
Majid mahakama imefanya mapinduzi.na c kila anachopewa mpinzani maana ake sahihi vp km raila angebwagwa.UNGESEMAJE MR MJENGWA?!Majid,
Unadhani viongozi wetu wana lolote la kujifunza kwenye hili? Naamini chama chetu tawala watakuwa wanamcheka Uhuru kwa kuruhusu hili!! Angalia alichofanya Jecha Zanzibar!!
Ahaaaaa... Alikumbuka kibano cha Ocampo na yule mama wa The HagueChezea The Hague wewe,Uhuru hawezi kuleta ngebe tena maana nakumbuka yaliyotaka kumpata.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sio Africa ni Kenya kuna uhuru wa mahakama.
Akili yako unaijua mwenyeweUkiungana na chadema lazima uangukie pua kama hivi.
Hata unajulikana? Ukianza kuwatenga watu(wapinzani) huna la maana utakalolifanya hata hao unawashabikia wana kauli mbiu "Umoja ni ushindi"Wapenda mabadiliko ya kweli tukomae na katiba mpya itayoleta mapinduzi ya msingi. Upinzani wanatuzingua na siasa zao za matukio ..