Tafsiri Ya Mahakama Kuu Kenya Kutangaza Uchaguzi Mkuu Kenya Ni Batili..

Umeandika nini sasa ???kila nchi inasheria zake .mfano Tanzania tume ikitangaza hakuna wakupinga.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukiungana na chadema lazima uangukie pua kama hivi.
Kwani kashindwa?Hamjazoea demokrasia ndio maana. Na uhuru atakuwa icon ya Afrika sio hili Kanikia la mkaa wa mawe
 
Ni kweli msomi lakini kwenda mahakamani kwa tanzania isiwe ni fasheni tu hasa sheria za tanzanzania kuweka ukomo wa kufungua mashauri ya madai pasipo kuweka ukomo wa kusikiliza mashauri ya madai,hapa kuna shida sana hasa mashauri ya madai ya kazi
 
Kweli kabisa.Tanzania wapinzani wlishind wakapelekewa Kesho la polisi kuwapiga na kuwadhalilisha.Funzo kubwa kwa Mahakama zetu,Polisi,Jeshi na CCM yao.
Katiba yetu inasema tume ni chombo chenye maamuzi ya mwisho kuhusu uchaguzi na hakihojiwi na mamlaka nyingine!
 
Naona kama kuna funZo hapa. Nategemea mijadala lukuki kutoka tls, wanazuoni na wnasheria pamoja na majaji tanzania. Vile vile watunga sheria na vyama vya siasa. Majaji wastaafu wana la kujifunza pia.
 
Aliyeandamana nani?
Mahakama za nchi yako zinaweza kufanya hivi?
Acha kujiuma kidole
Nchini kwako demokrasia imebana nani wa kwenda mahakamani akapewa haki yake
Uhuru ni shujaa na ushindi ataupata tena kwa kura nyingi zaidi kwani Wakenya wameona alivyo Mzalendo
Uhuru angetaka angepinga na vurugu zingeanza lakini muungwana na alisema ataheshimu maamuzi ya mahakama
Acha kufananisha Kenya na Nchi yako
Next............
 
Siyo Afrika demokrasia ipo sema Kenya demokrasia ipo.
 
Msifiche udhaifu wenu kwenye koti la kenya, africa ina nchi zaidi ya 50.
 
Vipi kuhusu Chama Chako cha Lumumba kuna kitu nimejifunza kweli ?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
K
Ingekuwa kwetu baada ya watu kuibiwa kura badala ya mtu aliyeibiwa kutakiwa kwenda mahakamani kudai haki yake,vyombo vya dola vingekuwa vinafanya mazoezi mitaani kumtisha aliyeibiwa kura asiendelee kupiga kelele.

Mbona Hamad alishinda Zanziba na Jecha akafuta uchaguzi na ukarudiwa?
 
Election is not an event.. is a process.... NILIMSIKIA JAJI AKISEMA HAYA
 
JE,SHERIA ZETU ZINARUHUSU KWENDA MAHAKAMANI?.....Kama sheria haziruhusu,Je aliyeonewa afanye nini?...KUANDAMANA
 
Maggid,huwezi kuandika bila kuficha chembechembe za ulumumba wako?unajitoa ufahamu hapo mwishoni kwamba hujui kama matokeo ya urais hayahojiwi na mahakama za Tanzania
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…