Tafsiri ya Majina ya Wana Chit Chat.......

unastahili tuzo wewe... uliwaza sanaa eehh
 
sikubali, imekuwaje unanichagulia wa congo??

Mie show zangu za akina rik ross, nikki minaji, young money crew kwa ujumla, derulo, drake na aina hiyo
 

mkuu utanipa ofa ya kisusio?
Kumbe AshaDii maana yake nokia asha.......
Mambie mtaalam wa kutafsiri nashukuru kwa kutafsiri maana ya Mamdenyi.......

Ila nakuuma sikio.....anajua maana ya TANMO hajakwambia makusudi liogopa ngumi....
 
Last edited by a moderator:
saa nyingine nakosa vitu vitamu namna hii
 
TANMO, umetumwa eeh? Mie siyajui haya makitu, rudi nyuma yangu shetani
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…