CARDLESS
JF-Expert Member
- Apr 2, 2017
- 7,840
- 15,918
Hiyo namba tangu niko mdogo, nikaa sehemu lazima niiandike, sijui nini maana yake, yaan nikaa sehemu nikishika kijiti basi cha kwanza kuandika hiyo namba.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo namba tangu niko mdogo, nikaa sehemu lazima niiandike, sijui nini maana yake, yaan nikaa sehemu nikishika kijiti basi cha kwanza kuandika hiyo namba.
NitakurudiaHabari za majukumu Mshana Jr nimeamua kuurudia huu uzi baada ya kukutana na jambo ambalo limenishtua linalohusu hii content.. Binafsi kuanzia mwez huu wa 12 nimekutana na hii kitu kila nikiangalia saa nimekutana na namba za kufanana na zimejirudia mara kwa mara kama 12:12 , 22:55 ni namba nyingi huwa zimafanana.. naomba nifahamishe mkuu [emoji120].
Nakusubiri mkuu.. nini nifanye na kipi nisifanye but??
4242
Nambari 11 ni "bwanaNakusubiri mkuu.. nini nifanye na kipi nisifanye but??
Nambari za MalaikaKuna wiki kila muda nakutana na 333 hadi nikawa nacheka mwenyewe
mkuu hizi sio password zako kweli ? kila mara ukitaka login unakutana nazoNakutana sana na 1234