Ni eneo la malazi na hutoa huduma ya chakula, ambalo linakutanisha aina ya watu wa aina moja,labda wafanyakazi, wanafunzi au wasafiri. Ambapo hutoa huduma kwa gharama nafuu. Katika risiti yako andika tu "bweni" kama ulivyoshauriwa hapo juu
Unamaanisha "dormitory"? Maana zake zinafanana,ila dormitory mara nyingi huwa inakuwa kwenye chuo au taasisi. Ila hostel inaweza kuwa sio kwenye chuo au taasis. Hata tu mtaani