Tafsiri ya neno hostel

Tafsiri ya neno hostel

kagombe

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2015
Posts
3,615
Reaction score
1,805
Nombeni msaada wa tafasari ya neno (hostel ) msaada wenu maana Kuna lisiti nalipishwa sielewi wastani nimechoka?
 
Hotel ya msongamano wa watu wengi.

Kama una demu hostel basi ujue kuna kidume cha hostel kinakula mzigo
 
Ni eneo la malazi na hutoa huduma ya chakula, ambalo linakutanisha aina ya watu wa aina moja,labda wafanyakazi, wanafunzi au wasafiri. Ambapo hutoa huduma kwa gharama nafuu. Katika risiti yako andika tu "bweni" kama ulivyoshauriwa hapo juu
 
Hostel ni nyumba wanayoishi watu fulani lakini NOTprovide food only shelters
 
Back
Top Bottom