Tafsiri ya neno LAPTOP

Google translate wanasema maana ya Laptop ni "MBALI"
I hate it!
 
heshima wakuu,
tusije potea kwa kufanya direct translation.

Rejea Desktop, hii ni kwa kuwa inakaa mezani,
Palmtop, hii kwenye kiganja.
Laptop, ya mapajani.

Sasa lazima litoholewe na kunyambuliwa kwa mantiki. Google translate ni kituko sometimes.
 
safi sana Endangered na hiyo ndio maana halisi kabisa laps -mapaja .top -juu ya
 
.
Mkuu Omonto wa-hene naomba tusaidie hapa!

Mimi nilikuwa najua la DadaVuzi Mpakato lakini huyu jamaa Kilembwe amekuja na jina Jipya!

Jee kuiita Kibwebwezo mpakato ni sawa?!

Kibwebwezo mhhh mbona nimeangalia kwenye kamus sijaliona au ni moja kat ya maneno mapya
Jamani kumbe kiswahili nacho ni kigumu,watu wasidhan kikitumiak kufundishia vyuo vikuu ndo watapata unafuu
 
"DADAVUZI MPAKATO"

Tafsiri hii niliipata toka kwa wale wataalam wa kiswahili wapatikanao TBC ktk kipindi cha Lulu za kiswahili

aaah yaani mimi ukitaja mamabo ya mpakato mwili wote unasisimka ..mweee sasa kumi na nusu mbali jamani niende home mie
 
"DADAVUZI MPAKATO"

Tafsiri hii niliipata toka kwa wale wataalam wa kiswahili wapatikanao TBC ktk kipindi cha Lulu za kiswahili
Jamani, tutashindwa kuzungumza Kiswahili mbele ya watoto. Hayo maneno DADA+VUZI yanatoa picha gani? Kwa ghafla ghafla itakuwa huyo DADa hayanyoi; halafu unaongeza na MPAKATO....job true true!
 
Jamani, tutashindwa kuzungumza Kiswahili mbele ya watoto. Hayo maneno DADA+VUZI yanatoa picha gani? Kwa ghafla ghafla itakuwa huyo DADa hayanyoi; halafu unaongeza na MPAKATO....job true true!
mkuu hapa ndipo nipopatwa na wataalam wetu wa kiswahili
 
safi sana Endangered na hiyo ndio maana halisi kabisa laps -mapaja .top -juu ya

kwaiyo nkisema demu wangu laptop! sijakosea jamani, au mtoto huyu ni laptop, hahaha lugha jamani
 
decoder kwa kiswahili inaitwa avkodare (source google). BAKITA MPOOO!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…