Mlumendo obeid
Member
- Sep 22, 2011
- 33
- 2
Hivi Laptop kwa kiswahili fasaha ni nini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi Laptop kwa kiswahili fasaha ni nini?
safi sana Endangered na hiyo ndio maana halisi kabisa laps -mapaja .top -juu yaheshima wakuu,
tusije potea kwa kufanya direct translation.
Rejea Desktop, hii ni kwa kuwa inakaa mezani,
Palmtop, hii kwenye kiganja.
Laptop, ya mapajani.
Sasa lazima litoholewe na kunyambuliwa kwa mantiki. Google translate ni kituko sometimes.
"DADAVUZI MPAKATO"
Tafsiri hii niliipata toka kwa wale wataalam wa kiswahili wapatikanao TBC ktk kipindi cha Lulu za kiswahili
"DADAVUZI MPAKATO"
Tafsiri hii niliipata toka kwa wale wataalam wa kiswahili wapatikanao TBC ktk kipindi cha Lulu za kiswahili
.laptop ni Kibwebwezo mpakato, kibwebwezo ni neno la kiswahili la computer!
Kibwebwezo mhhh mbona nimeangalia kwenye kamus sijaliona au ni moja kat ya maneno mapya.
Mkuu Omonto wa-hene naomba tusaidie hapa!
Mimi nilikuwa najua la DadaVuzi Mpakato lakini huyu jamaa Kilembwe amekuja na jina Jipya!
Jee kuiita Kibwebwezo mpakato ni sawa?!
"DADAVUZI MPAKATO"
Tafsiri hii niliipata toka kwa wale wataalam wa kiswahili wapatikanao TBC ktk kipindi cha Lulu za kiswahili
aaah yaani mimi ukitaja mamabo ya mpakato mwili wote unasisimka ..mweee sasa kumi na nusu mbali jamani niende home mie
aaah yaani mimi ukitaja mamabo ya mpakato mwili wote unasisimka ..mweee sasa kumi na nusu mbali jamani niende home mie
Jamani, tutashindwa kuzungumza Kiswahili mbele ya watoto. Hayo maneno DADA+VUZI yanatoa picha gani? Kwa ghafla ghafla itakuwa huyo DADa hayanyoi; halafu unaongeza na MPAKATO....job true true!"DADAVUZI MPAKATO"
Tafsiri hii niliipata toka kwa wale wataalam wa kiswahili wapatikanao TBC ktk kipindi cha Lulu za kiswahili
mkuu hapa ndipo nipopatwa na wataalam wetu wa kiswahiliJamani, tutashindwa kuzungumza Kiswahili mbele ya watoto. Hayo maneno DADA+VUZI yanatoa picha gani? Kwa ghafla ghafla itakuwa huyo DADa hayanyoi; halafu unaongeza na MPAKATO....job true true!
mkuu hapa ndipo nipopatwa na wataalam wetu wa kiswahili
safi sana Endangered na hiyo ndio maana halisi kabisa laps -mapaja .top -juu ya