Tafsiri ya picha katika ulimwengu wa kiroho

Dahh aiseee, yani marafiki niliopiga nao picha utotoni mpaka sasa wote ni maadui isipokuwa rafiki mmoja tu ambaye tuliugua ugonjwa unaofanana. 😅😅😅.
 
Hawq wate wameshawahi kuwa na kashfa ya usaliti ama kununulika
 
Kweli maana ukifosi sana kuamini ndivyo sivyo wkt time flies...
Mi sitaki pia na hiyo roho ishindweee kwenye picha zangu na za walizopo wapendwa wangu 🤗🤗🤗🤗
 
S
Sijawahi fuatilia ila pia sipendi picha huwa nawaza hata siku yangu ya ndoa kifupi tu sipendi picha nilipigwa picha hapo zamani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…