Tafsiri ya picha katika ulimwengu wa kiroho

nakumbuka mwaka fulani nikiwa chuo alikuja vice principal akatupiga picha mm na dada mmoja tukiwa tunasoma, akaiweka kwenye page yake fb hadi leo ipo.... wonderful enough leo hii tunaishi pamoja as husband & wife.
Waooohhh congrats... Congrats... Congrats... Anafahamu kuwa sasa nyie ni mke na mume?

Jr[emoji769]
 
Hivi wakati wanapigwa/ wanapiga hii picha kuna siku walijua ya kwamba watakufa kwa kutangulizana? Kama mkao ulivyo kwenye picha? Rip [emoji1019] Ruge.... Rip Ephraim

Jr[emoji769]
 
Tafsiri haiwezi kuja sasa hivi labda tu iwe Kama zamani kulikuwa na picha nyingine wamepiga pamoja

Jr[emoji769]
Weupe upande wao na weusi upande wao huku wakiwa na sare.

Hii picha itakuja kuleta maana muda si mrefu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…