Tafsiri ya picha katika ulimwengu wa kiroho

Tafsiri ya picha katika ulimwengu wa kiroho

Nimeona hilo kiongozi... Hivi huyo mwenye kikombe cha kijani kilichoficha uso ni nani...??? Umeona nguo imefanana rangi na huyo wa juu... The same to Kandoro wa chini yake... Nae sijui ni nani
Angalia vizuri hiyo picha Kandoro na Komba wako pamoja na wote ni RIP[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]

Jr[emoji769]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nakubaliana na wewe kwa asilimia 100% kaka, kwenye maisha haya kuna ulimwengu ndani ya ulimwengu na kwa bahati mbaya elimu juu ya huu ulimwengu ulio ndani ya ulimwengu inatolewa kwa udogo sana.

Picha yoyote ina maana zaidi ya namna inavyoonekana

Muandiko wowote unatoa ujumbe zaidi ya ujumbe ulioandikwa

Mkao wowote wa mtu unatoa ujumbe zaidi ya ujumbe anaotoa mhusika

Sauti ya mtu yoyote anayeongea inatoa ujumbe zaidi ya ujumbe anaousema

Na haya yote yanafundishwa kwa udoggo wa hali ya juu


VIIXCCCL GrandLodge,ARUSHA
 
Hapa ni mtu kaambiwa "Wewee!!?" Nae akajibu "Siyo mimi, siyo mimi" [emoji23][emoji23]

TAFSIRI YANGU: nafasi aliyonayo Lisu kama Mnadhimu mkuu Upinzani huwenda ikachukuliwa na huyu Mh. Nasari awamu ijayo, na tusishangae Lisu akaja kuwa Spika wa Bunge letu.

BC352761-D0EB-4F58-BAD8-BFDF0DDF48FB-348-0000003E9844141A.jpeg



VIIXCCCL GrandLodge,ARUSHA
 
Mshana Jr,
siku mkianza kujadili na video unitag hapa sikuelewi kama ujuavyo mpinzani wako😈😈😈😈
 
Hapa ni mtu kaambiwa "Wewee!!?" Nae akajibu "Siyo mimi, siyo mimi" [emoji23][emoji23]

TAFSIRI YANGU: nafasi aliyonayo Lisu kama Mnadhimu mkuu Upinzani huwenda ikachukuliwa na huyu Mh. Nasari awamu ijayo, na tusishangae Lisu akaja kuwa Spika wa Bunge letu.

View attachment 1031518


VIIXCCCL GrandLodge,ARUSHA
[emoji123][emoji123][emoji123]

Jr[emoji769]
 
siku mkianza kujadili na video unitag hapa sikuelewi kama ujuavyo mpinzani wako[emoji48][emoji48][emoji48][emoji48]
Videos ni motion pictures haziwezi kulingana na muktadha wa hii mada

Jr[emoji769]
 
Back
Top Bottom