Tafsiri ya picha katika ulimwengu wa kiroho

Tafsiri ya picha katika ulimwengu wa kiroho

IMG_2441.jpg

Hii nayo muda si mrefu itazungumza
 
Hii picha tulipiga Manyara mwaka 1992 .. Kulikuwa mabest sana mpaka tukawa na jina letu rasmi
Wa mbele kabisa Emanuel alishafariki
Wa pili kutoka mbele ni Rodgers yuko TAMISEMI
Wa tatu ni mimi niko Kilingeni😀View attachment 3138237
Wa Mwisho ni Martin ni Daktari bingwa
Kwa vile ni 1992 ,Hilo pozi hatuna waswas nalo,tunajua amani ilikuwepo😄😄😄
 
Back
Top Bottom