Tafsiri ya picha katika ulimwengu wa kiroho

Tafsiri ya picha katika ulimwengu wa kiroho

_20240806_160112.JPG
 
Picha ni sehemu ya mwili wako iliyo nje yake wachawi na waganga huroga katika baadhi ya matukio kwa kutumia picha na kinacholeta uhai uhalisia na mawasiliano ya kiroho ni sura.
Hahaha sasa naanza kuelewa kwanini wale vijana wa CHAPUTA, na Kataa ndoa wanaongezeka. Picha, lakini Dr. Mambo Jambo anasema CHAPUTA siyo sex.
 
Hii picha tulipiga Manyara mwaka 1992 .. Kulikuwa mabest sana mpaka tukawa na jina letu rasmi
Wa mbele kabisa Emanuel alishafariki
Wa pili kutoka mbele ni Rodgers yuko TAMISEMI
Wa tatu ni mimi niko Kilingeni😀View attachment 3138237
Wa Mwisho ni Martin ni Daktari bingwa
Wa kwanza na wa pili wameenda kwenue kada za kuhumia raia kisera na siasa. 3 na 4 mnatoa huduma za kitabibu mwili na roho
 
Dk Mwele Malecela na Dk Augustine Ndugulile. Madaktari wawili vijana mahiri wa Kitanzania, ambao ajira zao ktk WHO yaliishia ktk namna ya kushtukiza ghafla, na kuacha majonzi kwa watanzania! Mwenyezi awajalie huruma yake!!
IMG-20241129-WA0041.jpg
 
Back
Top Bottom