Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 69,329
- 164,730
Wajenzi wamegeuzwa matofali
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu unaufahamu usio wa kawaida... akili ndogo mara nyingi huwa hazikuelewi na kuishia kudhani unazungumzia uchawi.
Picha chini inaonesha marais wote wa Kenya, Jomo Kenyatta, Daniel arap Moi, Mwai Kibaki na Uhuru Kenyatta
![]()
View attachment 1271704
Hao wote hatunao
Madaktari wahitimu pamoja.
Alianza wa Chini na sasa wa juu
Picha kweli zinaongea mengi
View attachment 1271704
Hao wote hatunao
Madaktari wahitimu pamoja.
Alianza wa Chini na sasa wa juu
Picha kweli zinaongea mengi
View attachment 1271704
Hao wote hatunao
Madaktari wahitimu pamoja.
Alianza wa Chini na sasa wa juu
Picha kweli zinaongea mengi
Ni ajali?Mdogo wangu Dr. Musa nimeumia sana, pumzikeni kwa amani.
Hapa sio kwamba wote mnahusika,wengine mtabaki kuwa wasimuliaji tuduuh tafsiri ya picha zangu itakuwa na utata maana si kwa selfie hizi 50 kwa siku
Kulia kushoto.... Washasepa WCB[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] tusubiri
Sasa ndio naelewa kwanini picha, video na audio za Sokoine ni bidhaa adimu. Kumbe vina ujumbe mzito sana wa kuweza kumtoa mtu kwenye usingizi wa pono