Tafsiri ya picha katika ulimwengu wa kiroho

Sijaelewa kitu
 
Mshana bana...... kwa nini picha isiende kwa kunyooka kama ile ya kwanza hapo ya Marehemu Mkapa, kisha Marehemu Maalim....?
Soma mada kuu utanielewa
 
Aise! Kuna kitu nmejifunza hapa
 
Hii mantiki ya wote wamekufa haina mashkkoo hakkuna atakaeishi milele. Labda kama kutakuwa na fomula y nan ataanza na nan atafata nitawaelewa
Lakini msingi wa mada hauzungumzii kifo tu bali matukio mbalimbali kwenye maisha ..kifo kimekuwa notable kwakuwa ndio jambo kubwa zaidi kuliko mengine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…