Tafsiri ya picha katika ulimwengu wa kiroho

Nakuunga mkono. Sio kila jambo nyuma yake kuna nguvu za kiroho bana...ni uhalisia na nature inafanya kazi yake.
 
mzee mshana siku hizi naomba unatoa thread kama hizi tena

Maana kuna limit mtu unawaza mpaka unaona mwisho kumbe mwingine ndio mwanzo anapoanzia

Kuna kitu kimoja ningeomba kuuliza kwako maana hapa ni jamii na tunasaidiana japo huenda ikawa haijabeba uzito ila kwenye sehemu fulani ina maana kubwa
 
Hapana, hilo anaju MUNGU pekee, unaweza ukafuata hata wewe.

Kifo ni siri tusiyoifahamu
Najua hilo ndugu yangu...dats why sija mention jina la yoyote hapo zaid ya kushangaa tuu, najua ulozi ni mambo ya kufikirika.
 
Karibu bila shaka
 
Mshana bana...... kwa nini picha isiende kwa kunyooka kama ile ya kwanza hapo ya Marehemu Mkapa, kisha Marehemu Maalim....?

Hiyo picha ukizingatia mapozi, Maalim na Mkapa wanacheka halafu wamekusanya mikono.... Mzee Mamvi katawanya mikono na katazama pembeni huko!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…