Tafsiri ya picha katika ulimwengu wa kiroho

Leo kwenye pitapita yangu mitaa ya K'koo nilikutana na Mtu mwenye Muonekano (( Sura.. Mtindo wa Kushevu.. na Miwani )) kwenye tawira ya akili ukanijia wewe #Mr. Mshana Jr
Hapana ndugu yangu sio mimi niko mbali kabisa safarini.. Ila unajua duniani wawili wawili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…