Tafsiri ya picha katika ulimwengu wa kiroho

Tafsiri ya picha katika ulimwengu wa kiroho

Hii ilikua mechi ya hisani kupinga madawa ya kulevya na Rushwa, Maradona Team no to Drugs, na Michael Platini No to Corruption na katikati Peĺe.

Miaka kadhaa baadae , Maradona akashtakiwa kwa madawa ya kulevya, na Platini aliekua Rais wa UEFA amekutwa na hatia ya kupokea Rushwa.

Pele ambae yuko katikati yao, hajawahi kukutwa na kashfa ya madawa wala ya Rushwa
[emoji23][emoji23] aiseee
 
89a4b0e2ca26cff8758bccffde77bd64.jpg

Picha itaongea hii tusubiri
Walivojipanga Rich Mavoko alianza kutoka, akaja Harmonize, Anayemfuatia ni Rayvann je nae siku zinahesabika??
 
Picha: Kutoka Kitabu Cha Historia Ya Raisi Mkapa, – Benjamin Mkapa (wa kwanza kushoto) akiwa na rafiki zake Phillip Magani (mwenye kofia) & John Kambona (wa kwanza kulia) wakati huo wakiwa wanafunzi Saint Francis College (sasa Pugu Sekondari). Kulingana na historia kwenye kitabu, baadaye Mkapa na rafiki yake Philip Magani walioa wanawake ndugu.
msaada wa kitabu Cha Mkapa, kinapatikana wapi
 
Back
Top Bottom