Tafsiri ya sentensi hizi za Kiingereza


1. "Father, what is my relative position in terms of birth order among your children?"
2. She crawled on her knees until they got bruised. She crawled on her knees until they were bruised.
3. This is the woman who bore me/This is the woman who gave birth to me.
4. How would it have been if i had been borne female?/How would it have been if i had been borne a girl.

Remember, someone cannot be born a WOMAN, for a woman is a person over the age of 18 years.
 
I like Bisansaba's translations. The first sentence is difficult even for an English speaker. A child might ask, "Father, which child am I?" But then the child would probably add, "Am I the first, or What?"
 

2-He/she crawled on his/her knees until he/she bruised them
 
Hakuna haja ya kuwacheka wanaotafsiri kwenye bongo movies,kumbe hata waliosoma shule wanazopiga sana cnn kumbe hakuna kitu kabisa
 
Kujua kubadili hayo maneno kuwa kiingereza ndo mtafakuri mkubwa??tanzania hii kuna watu wakiongea jambo la kipumbavu kwa kiingereza wanaonekana wa maana kwel

"Tunao waswahili ambao, jambo la kipumbavu likisemwa kwa kiingereza linaonekana la maana sana".
By JK Nyerere.
 
1.What number am I to be born ? Na epusha kurudia kutaja tena neno father kwa sababu nakuwa nae,pia neno list naondoa kwa sababu anayeulizwa anafahamu kwamba mimi nipo kwenye list ya watoto wake.
 
1. Father, what number baby born on your children list am I?
2. S/he crawled on her/his knees until they get bruised.
3. This is the woman who bore me.
4. What would happen if I were born a woman?

Hopefully kuna mawasiliano.

Makofi kwake tafadhali. Excellent!
 
 
Ukitaka utafsiri mzuri chukua wale wahitimu wa chuo kikuu (Mlimani) wanao tafsiri kwenye bongo muvi.....(nafikiri umenipata hapa, si unajuwa jinsi sinema za bongo zinavyosifika kwa utafsiri wake kwenye english?).
 

unapotumia neno la kiingereza crawl unakuwa na maana hii "to move foward on your hands and knees " watanzania msilazimishe kufanya vitu ambavyo hamjui, kama ukikaa kimya utaonekana mjaja!! umetafsiri umeonekana empty set! so what!! kumbuka : Lugha ni utamaduni!
 
I like Bisansaba's translations. The first sentence is difficult even for an English speaker. A child might ask, "Father, which child am I?" But then the child would probably add, "Am I the first, or What?"

It real amaizing seeing you komuge68 tranalate like that, maybe you are @kyamwame68, remember every language hv got its own cuture! forcing those phrases to swahili, expect double punch!!
 
Last edited by a moderator:

Hehehe...mkuu, tatizo lako ni lipi?

Kwanza, sijui ni nini kinachokufanya ufikiri mimi ni mtanzania.

Mleta mada ameuliza swali...hili ni jukwaa la lugha, mchango wako ni upi? Au wewe ni critic tu ambaye anajua kutoa makosa kwa vitabu vya wengine lakini kitabu hawezi kuliandika?

Unanifurahisha sana unaposema kuwa baada ya kutafsiri nimeonekana empty set. Kwani unafikiri sijui maana ya kucrawl? Unasema to crawl is to move forward on your hands and knees

Wacha nikusaidie wewe "mjanja" ambaye uliamua "kunyamaza"....

Hii inatoka kwenye kamusi ya Swahili-English unayoweza kudowloand hapo juu

tamba.a[SUP]1[/SUP] kt [sie] crawl, creep. (tde) tambalia; (tdk) tambalika; (tds) tambalisha.

moghasa Hebu sema tuone ujanja wako basi; Au utasoma post hii halafu uhepe kimyakimya kwa sababu hutaki kuonekana "empty set?"
 
It real amaizing seeing you komuge68 tranalate like that, maybe you are @kyamwame68, remember every language hv got its own cuture! forcing those phrases to swahili, expect double punch??!!

Kwanini usiandike tu kwa Kiswahili ndugu? Unashinda ukiwatoa wengine makosa ilhali makosa yako ni maradufu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…