Tafsiri ya Viapo vya Utii na Maadili mtumishi akitoa siri za Umma nini kitamtokea?

Matope

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2009
Posts
892
Reaction score
683
Wakuu habari,

Nimetafakari leo viapo vya utii na maadili kwa mfano ikatokea ukatoa siri za kambi nini kinatokea?

Kwa mfano Bwana Paul Makonda akaamua kutumegea nini kipo huko akatoa siri za mabaya yote ya ofisi ya mkoa na aliyoamrishwa kufanya inakuwaje?

Kuna Sheria inayombana au kumfunga kabisa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…