Tafsiri ya zawadi ya nazi "Coconut"

Hapana alinipatia zawadi na kuniuliza endapo naweza kukuna. Kiukweli ninaye hadi mbuzi anayetumika na nimeweza kuikuna leo.

Sema roho na nafsi zinasisitiza kufahamu maana ya zawadi hii.
Itupe tu mkuu au gawa☺
 
Usiwe na dhana mbaya...Wewe vunja Nazi maji nipe mie ninywe.....alafu tunakuna Nazi yetu...nachukua chopping board yangu Demi Depal nakataka kata zaga...


Tunaroast sato wetu vizuri Sana na Nazi Hiyo...alafu tunakula na wali....Baada ya hapo.... Mimi nasikitika kwanini sipungui...

Then maisha yanaendelea...
 
Ile chopping board yenye fangasi ndio unataka kumlisha mdau,au kuna nyingine?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…