"Tafuta binti mbichi umkuze alafu umuoe achana na hao waliokomaa"

Fact ,
Kipindi nipo chuo nilikakuza kamoja hatimae nilikaowa na tumebahatika mtoto mmoja mpaka sasa
 
Neema ya Mungu pekee ndio huwatunza na kuwakuza watu katika njia njema though Kuna mchango pia ya malezi

Asipolinda Bwana mji,waulindao wakesha bure, wafanya Kazi bure.
Kikubwa Ni kumuomba tu Mungu
 
Vyakukuzwa ndio hua vinawaumiza baadae mnakuja kulialia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…