MLEVi Mmoja
JF-Expert Member
- Jun 29, 2019
- 8,514
- 15,050
Eeeeh kwenye vifaranga wako wanne unaotafuta niwe mmoja wao tafadhali
Ulimuona?mohammad alioa wa miaka 9
Hatari sanaaayap, zile ngoma uko nayo lakn hata hutak kuiangalia usoni, ila mkiwa bed inakata mauno km mnenguaji mstaafu wa twanga pepeta
Mkuu safi sanaaaWengi sn wameniambia hivi.Nimelifanyia kazi naona linaenda vzr.Changamoto ni inabidi uwe mvumilivu kwn utakuta anasoma.Maelewano ni mazur sn na hana shida na ni mgeni kabisa ktk taasisi hii ya mapenzi.
[emoji1]Eeeeeh
anatumia condom bila shakaWe jamaa miaka 30 inakuita
28 hapana mkuu, huyu anakuwa na DNA ya wapenzi kibao,, hawara akimtaka anampata,,Age hyo unayotaka ndo damu inachemka,..na anatongozwa mara 20 kwa siku utamuweza,bora umchukue mzee 28 kashakikatia tamaa ametulia
imeandikwa katika hadithi zake,ambazo kwa mujibu wa uislamu inaaminika Ni sahihi kabisaUlimuona?
Kwa mikono miwili karibuOhh nakuja aiseeh,
Unipokee sasa
[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]Wewe ni mtetea kabisa bado kutaga tu unaweza kuparua kabisa. Nihangaike na vifaranga vyangu tu hata kuparua haviwez
Oooh hayaMkuu zesh Hayo ni maneno tu hata kweny kanga zenu yapo mtu mzima atishiwi nyau .
ShukraniKwa mikono miwili karibu
Na mwaka huu wenu [emoji23][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]
hakika miaka 30 nitasikia kwa wenzanguanatumia condom bila shaka
Kabisa mkuu,hakika miaka 30 nitasikia kwa wenzangu
Na mwaka huu wenu [emoji23]
Bado mtatuhitaji wakati huo tupo na vifaranga vyetu tulivyovikuza nyie age itakuwa imeendaUsitutishe hatuogopi chochote dunia hii mchawi pesa tu.... Tunazitafuta then tunatulia kimya mwendo wa kutumbua tu bila usumbufu wowote ule