Tafuta hela, aliyekwambia yupo kwenye mfungo amerudishwa na Bae wake jioni hii

RIGHT MARKER

Senior Member
Joined
Apr 30, 2018
Posts
129
Reaction score
473
Tafuta hela; aliyekwambia yupo kwenye mfungo amerudishwa kwa gari na Bae wake jioni hii, muda huu anaelekea bafuni kuoga.

Tafuta hela; aliyekwambia kuwa huu ni mwezi wa mfungo usimtafute, ametumiwa hela ya nauli hivyo yupo kujiandaa ili akapande Bolt.

Tafuta hela; aliyekwambia usimguse mpaka ukajulikane kwa wazazi wake, wiki iliyopita ameguswa, juzi ameguswa, na jana ameguswa na watu ambao hawajulikani popote.

RIGHT MARKER
DAR ES SALAAM
 
Mimi nina tatizo opposite, mtoto wa Kiislamu yupo katika mfungo halafu anataka kuniona mimi wakati mimi naona kama nitamuharibia mfungo wake.
 
Tafuta hela; aliyekwambia yupo kwenye mfungo amerudishwa kwa gari na Bae wake jioni hii, muda huu anaelekea bafuni kuoga.

Tafuta hela; aliyekwambia kuwa huu ni mwezi wa mfungo usimtafute, ametumiwa hela ya nauli hivyo yupo kujiandaa ili akapande Bolt.

Tafuta hela; aliyekwambia usimguse mpaka ukajulikane kwa wazazi wake, wiki iliyopita ameguswa, juzi ameguswa, na jana ameguswa na watu ambao hawajulikani popote.

RIGHT MARKER
DAR ES SALAAM
Hiki kipindi cha mfungo waungwana wanagongewa Sana Sana sana hasa kama ameanza kukuchoka. Hakuna kitu inauma kama side chick akicheat.... maumivu yake Sio ya ulimwengu huu
 
Back
Top Bottom