Tafuta hela, aliyekwambia yupo kwenye mfungo amerudishwa na Bae wake jioni hii

Si ata wewe unaona money is everything
๐Ÿ˜น
 
Tafuta hela
 
Utakufa maskini
 
Hapan sio sahihi
Kuna walume ndago wananiambia mambo ya imani yake muachie aamue nwenyewe, kwani si imani yangu.

Wanasema "Akikualika wewe kula kuanzia iftar mpaka mpishi".

Bidada anasema ananialika kula iftar tu, mpishi mpaka Ramadhan ikiisha.

Mimi mwenyewe nimepata mtihani hapo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ