OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
OKW BOBAN SUNZU soooma hiyooo βοΈUkiwa na hela pesa huwa ni automatic scrub una ngaa tu.
Wala huhitaji kujichubua.
Mimi scrub product zipo apa ndani sipangiwi Wala mtu asinishaurii...... Fanya kitu kwa ajili yako, pendeza, jikubalii, jipe ur self love na km mtu wa kutoka basi tafuta sehem nzurii tulivu..... Enjoy what you harvestNimetafuta hela juani, siku nyingine vumbini, mara nyingine ni kwenye mvua au porini nalala na fisi.
Sasa nakuja mjini kuchukua hela mara moja, kwa nini nisiingie saloon spa kufanya scrub kujiweka safi na masaji kuupa mwili raha!
Tafuta hela, ukipata hutaona kama.scrub ni udada.
Weekend njema wakuu wote humu
Wewe umesema MkuuπUkiwa na hela pesa huwa ni automatic scrub una ngaa tu.
Wala huhitaji kujichubua.
Asee futa huu utopolo nenda faster international forum kuiunga mkono taifa teule tukufu na takatifu katika zoezi lake la kuifuta na kusafisha kundi lakisenge la kigaidi Hamas.Nimetafuta hela juani, siku nyingine vumbini, mara nyingine ni kwenye mvua au porini nalala na fisi.
Sasa nakuja mjini kuchukua hela mara moja, kwa nini nisiingie saloon spa kufanya scrub kujiweka safi na masaji kuupa mwili raha!
Tafuta hela, ukipata hutaona kama.scrub ni udada.
Weekend njema wakuu wote humu
πππUkiwa na hela pesa huwa ni automatic scrub una ngaa tu.
Wala huhitaji kujichubua.
Ndawoo wewe ukishikaga hela vijichenji unakuwaga na nyodo na fujo ndo maana wanakuwekeaga vipande vya chupa kwenye chakula.Ukiwa na hela pesa huwa ni automatic scrub una ngaa tu.
Wala huhitaji kujichubua.
siunajua tena mkulima akipataUkiwa na hela pesa huwa ni automatic scrub una ngaa tu.
Wala huhitaji kujichubua.
Uzi ikibidi ukomee hapa...maana hii ndo scrub og ππUkiwa na hela pesa huwa ni automatic scrub una ngaa tu.
Wala huhitaji kujichubua.
Mada ikiishia hapa pia ni sawa.Ukiwa na hela pesa huwa ni automatic scrub una ngaa tu.
Wala huhitaji kujichubua.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ukiwa na hela pesa huwa ni automatic scrub una ngaa tu.
Wala huhitaji kujichubua.